CHANGAMOTO

mmh nahani kila mtu anajua kila kitu anachokifanya lazima kuna changamoto anaipitia nikiwa kwenye business hii nilipitia changamoto nyingi japo nilikuwa nahitaji mafanikio basi nilijikaza lakini changamoto kubwa ilikuwa ni kukatishwa tamaa na watu/ rafik/ndug n.k japo mungu alinisaidia sana nilishinda vishawishi click next

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii