Machapisho

𝕄𝕐 𝕃𝕀𝔽𝔼 ℕ𝕆𝕎

<img alt="" border="0" height="200" data-original-height="5184" data-original-width="3456" sr

MWISHO

Picha
mpaka sasa nimeweza kuwa na hali nzuri kabisa na nimefanikiwa kwa upana mrefu sana ,nimeweza kujenga systeam ambayo inaniingizia pesa hata kama sipo kazini,uhuru wa pesa,muda n.k na piah kama mimi nimeweza nawe pia unaweza ubarikiwe sana ni mimi francis mbilinyi contact 0687285783

DHUMUNI LANGU

Picha
dhumuni langu ilikuwa kubwa sana mana nilihitaji kuwa na malengo makubwa sana hapo badae na kuwa na maisha mazuri nilizidi kumuomba mungu mipango yangu itimie na nilifanya kazi kwa bidii sana 👉👉👉

CHANGAMOTO

Picha
mmh nahani kila mtu anajua kila kitu anachokifanya lazima kuna changamoto anaipitia nikiwa kwenye business hii nilipitia changamoto nyingi japo nilikuwa nahitaji mafanikio basi nilijikaza lakini changamoto kubwa ilikuwa ni kukatishwa tamaa na watu/ rafik/ndug n.k japo mungu alinisaidia sana nilishinda vishawishi click next

SABABU ZA KUFANYA

Picha
kuna sababu mbalimbali zilizofanya nibaki katika hii biashara 1:uhuru wa muda 2:uhuru wa kipato 3:kipato endelevu bila kikomo 4:ushilikiano baina ya mimi na viongozi wangu click next

MWANZO WA KAZI

Picha
siku iliyofwata asubuhi nilifika ofisini na kusajiliwa ilikuwa mwezi wa nne mwishoni na ndipo nilielekezwa kila kitu na hapo basi nikapata mwanga mzuri wa biashara na afya mana nilikuwa na ndoto ya kufanikiwa click next